Jua Haki Zako

Mapambano Dhidi ya Ukeketaji

Sauti 10:57
Mapambano dhidi ya ukeketaji nchini Cote D'Ivoire.
Mapambano dhidi ya ukeketaji nchini Cote D'Ivoire. Kambou Sia, AFP

Fuatilia mawili matatu kuhusu mapambano dhidi ya ukeketaji wa wasichana na wanawake nchini Tanzania, kitendo kinachoathiri utu na afya ya mwanamke. Pia, husisite kubofya hapa kusoma ripoti ya shirika la afya duniani juu ya ukeketaji kwa wale wenye jinsia ya kike.