Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mitazamo tofauti kuhusu sikukuu ya mwanamke duniani, mvutano wa kisiasa katika upinzani wa DRC

Sauti 19:43
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari akikaribishwa nyumbani ijumaa marchi 10 2017 baada ya mapumziko ya kiafya nje ya Nchi.
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari akikaribishwa nyumbani ijumaa marchi 10 2017 baada ya mapumziko ya kiafya nje ya Nchi. Presidential Office/Handout via REUTERS

Makala hii imeangazia sikukuu ya mwanamke duniani, changamoto na mafanikio ya mwanamke katika suala la maendeleo ya jamii barani afrika, lakini pia tumegusia mvutano wa kisiasa katika muungano wa vyama vya upinzani wa rassemblement nchini DRCongo, tangu kuteuliwa kwa Felix Tshisekedi kuwa mwenyekiti wa muungano huo, kule Nigeria kurejea nyumbani kwa rais Muhammadu Buhari, wakati kimataifa tumeangazia hatua ya rais Donald Trump wa Marekani kusaini upya sheria kuhusu wahamiaji toka mataifa kadhaa ya kiisilamu.