Vitendo vya utekaji DRC ni ukiukwaji wa haki za binadamu

Sauti 10:12
Baadhi ya wanajeshi wa MONUSCO nchini DRC
Baadhi ya wanajeshi wa MONUSCO nchini DRC Photo MONUSCO / Force

Kuendelea kuripotiwa vitendo vya utekaji nyara kuwalenga watumishi wa kimataifa na raia wenyeji katika maeneo mbalimbali nchini DRC kumelaaniwa na watetezi wa haki za binadamu.Ni hivi karibuni wafanyakazi wawili wa UN wametekwa na wapiganaji katika eneo la Kasai...