Muziki Ijumaa

Magic System na wimbo wao mpya

Sauti 11:38
Magic system
Magic system Asalfo/facebook

Magic System ni miongoni mwa makundi ya muziki kutoka Afrika magharibi yaliojikongea myoyo ya wapenzi wengi wa Muziki kutoka katika kila kona ya dunia. Ni vijana wanne waliotoka na kibao chao cha kwanza " Premier Gaou" kikabamba na kukubalika pande zote. Sikiliza makala haya kufaham zaidi.