Changu Chako, Chako Changu
Wiki ya Kuadhimisha Lugha ya Kifaransa Duniani 2017
Imechapishwa:
Cheza - 21:13
Fuatilia sehemu ya kwanza ya maadhimisho ya sherehe za La Francophonie duniani kwa mwaka wa 2017. Watu mbali mbali, ikiwemo wanafunzi, walimu na wadau wa lugha ya Kifaransa wanazungumza na burudani ya muziki kama kawaida.