Muziki Ijumaa

Trizah B mwanamuziki wa kike anaejituma kutoka nchini Kenya

Sauti 10:50
Mwanamuziki wa Kenya Trizah B
Mwanamuziki wa Kenya Trizah B trizah B/facebook

Makala Muziki Ijumaa juma hili tunazungumza na mwanamuziki wa kike kutoka nchini Kenya Trizah B kuangalia hatuwa alizofikia ki muziki na mipango yake ya sasa. Ambatana naye Ali Bilali kusikiliza makaka haya. Usikosi pia kumfollow @billy_bilali