Habari RFI-Ki

MONUSCO yaongezewa muda

Sauti 10:13
Kikosi cha bataliani ya MONUSCO wakati wa kukabidhiwa shahada huko Bunia Ituri DRC
Kikosi cha bataliani ya MONUSCO wakati wa kukabidhiwa shahada huko Bunia Ituri DRC Photo MONUSCO/Force

Katika makala haya utasikia maoni ya wachangiaji kuhusu MONUSCO kuongezewa muda wa mwaka mmoja nchini DRC na kupunguzwa kwa idadi ya askari wake, karibu