Rais Kabila ahutubia bunge la Seneti na la Kitaifa

Sauti 10:03
Rais wa DRC Joseph Kabila
Rais wa DRC Joseph Kabila REUTERS/Kenny Katombe

Katika makala haya utasikia maoni kuhusu hotuba ya rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila kwa bunge la seneti na bunge la kitaifa ambapo ameahidi waziri mkuu kupatikana baada ya saa 48 na kuundwa kwa serikali ya mpito.