Muziki Ijumaa

Msanii nguli anaependwa na wengi nchini Burundi

Sauti 12:34
Big Fizzo, mwanamuziki wa Burundi mwenyemakaazi yake nchini Ufaransa
Big Fizzo, mwanamuziki wa Burundi mwenyemakaazi yake nchini Ufaransa big fizzo/facebook

Mwanamuziki Big Fizzo ni miongoni mwa wanamuziki wanaopendwa na wengi nchini Burundi, baada ya kuhamishia makaazi yake nchini Ufaransa ambako anaeshi na familia yake, amerejea nyumbani kwa ajili ya maandalizi ya album yake ambayo April 30 alifanya uzinduzi uliofana kwa kiasi kikubwa. Sikiliza Makala haya na @billy_bilali