Muziki Ijumaa

Mwanamuziki Singuila na mafaanikio yake kwenye Muziki

Sauti 11:52
Singuila, mwanamuziki wa Ufaransa
Singuila, mwanamuziki wa Ufaransa jukebox.fr

Makala Muzuki Ijumaa juma hili Ali Bilali anakuletea mwanamuziki kutoka nchini Ufaransa mwenye asili ya Afrika aliejipatia mafaaniko katika muziki Singuila, ambae kwa sasa anatamba na kibao chake Ay Mama, sikiliza Makala haya ili kufaham zaidi na usikosi kutufollow kwa Istagram @billy_bilali