Muziki Ijumaa

Festival FEMUA inavyobadilisha maisha ya wananchi

Imechapishwa:

Festival Femua (Festival de la Musique Urbaine d'Anumabo) ni moja miongoni mwa tamasha linalofanyika huko nchii Cote d'Ivoire ambalo lilianzishwa na wanamuzuki wa kundi la Magic System na ambalo hufanyika mara moja kwa kila mwaka. Wakati wa msimu wa tamasha hilo, misaada mbalimbali hutolewa kwa wananchi na ni fursa kwa wapenzi wa Muziki kuhushuhudia moja kwa moja wanamuzki pendwa kuotka katika kila kona ya dunia, kumbuka mwaka 2015 mwanamuziki Papa Wemba alifatiki wakati akiwa jukwaani akitumbwiza kwenye tamasha hilo. Karibu ambatana naye Ali Bilali waweza pia kumfollow kwa instagram kwa kuandika @billy_bilali

Kundi la Magic System
Kundi la Magic System fanart.tv