Watoto milioni 1.4 kuathiriwa na utapiamlo nchini Somalia mwaka huu

Sauti 09:07
mwanamke wa kisomali aliyekosa makazi akiwa na watoto wake katika kambi ya  Al-cadaala Mogadishu.
mwanamke wa kisomali aliyekosa makazi akiwa na watoto wake katika kambi ya Al-cadaala Mogadishu. REUTERS/Feisal Omar

Katika makala haya utasikia maoni kuhusu ripoti ya utapiamlo nchini Somalia iliyotolewa na shirika la kuhudumia watoto UNICEF , Karibu