Muziki Ijumaa

Mr Champagne, miongoni mwa mwanamuziki wa Burundi wanaothubutu

Sauti 12:46
Mwanamuziki wa Burundi Mr Champagne
Mwanamuziki wa Burundi Mr Champagne facebook/mrchampagne

Muziki Ijumaa Juma hili, Ali Bilali anazumgumza na mwanamuziki kutoka Burundi Mr Champagne ambae anajaribu kuthubutu katika kuupaisha muziki wake. Kufaham mengi zaidi sikiliza makala haya, usikosi pia kumfollow Ali Bilali kwa instagram @billy_bilali