Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Uchaguzi wa duru ya pili nchini Ufaransa, maaskofu DRC wataka Katumbi arejee nchini

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia uchaguzi wa duru ya pili nchini Ufaransa Jumapili ya mei 07 mwaka huu kati ya mgombea mwenye msimamo wa kati Emmanuel Macron na mgombea mwenye msimamo mkali Marine Le Pen, lakini pia wito wa maaskofu wa kanisa katoliki kwa serikali ya DRC mjini Kinshasa wa kumruhusu mwanasiasa wa upinzani Moise Katumbi arejee nyumbani, Wabunge wa chama cha republican nchini Marekani wamepitisha mswada unaoondoa na kubadilisha mpango wa bima ya afya ya obamacare iliyoanzishwa na rais wa zamani Barrack Obama.

Askofu mkuu Marcel Utembi, mwenyekiti wa baraza la CENCO pamoja na katibu mkuu, Donatien Nsholé,mjini Kinshasa DRC desemba 30 2016
Askofu mkuu Marcel Utembi, mwenyekiti wa baraza la CENCO pamoja na katibu mkuu, Donatien Nsholé,mjini Kinshasa DRC desemba 30 2016 AFP/JUNIOR D.KANNAH