Wasichana 82 wa Chibok waachiwa na Boko haram Nigeria

Sauti 09:02
Wasichana wa Chibok 83 walikutana na raisi Buhari Abuja
Wasichana wa Chibok 83 walikutana na raisi Buhari Abuja twitter

Kundi la Boko haram limewaachilia huru wasichana 82 waliotekwa Chibok miaka mitatu iliyopita baada ya majadiliano kati yao na serikali ya Nigeria.Je wasikilizaji wana maoni gani juu ya hatua hiyo?