Raisi Kabila atangaza serikali ya mpito DRC

Sauti 09:42
Raisi wa DRC Joseph Kabila
Raisi wa DRC Joseph Kabila REUTERS/Kenny Katombe

Makala ya habari rafiki inaangazia hatua ya raisi Joseph Kabila kutangaza baraza la mawaziri 60 watakaounda serikali ya mpito nchini DRC na kutupili ambali madai ya upinzani kuwa amekiuka makubaliano ya DEc 31 2016.