Muziki Ijumaa

Man Pizzo na mbio za kuingia mjini

Sauti 11:44
Mwanamuziki Man Pizzo ndani ya Studio za RFI Kiswahili na mtangazaji Billy Bilali
Mwanamuziki Man Pizzo ndani ya Studio za RFI Kiswahili na mtangazaji Billy Bilali RFI/Bilali

Juma hili, Ali Bilali amezungumza na mwanamuziki chipukizi kuotka Mkoani Tanga ambae anatafuta njia za kutoka na kukubalika kama walivyo wanamuziuki wengine waliomtangulia kutoka mkoani Tanga. Mengi zaidi ambatana naye hapa na usikosi kumfollow kwa instagram kwa kuandika @billy_bilali