Mlipuko wa ugonjwa wa ebola DRC, Emmanuel Macron kutawazwa rasmi rais mpya wa Ufaransa

Sauti 21:07
Madaktari na wataalamu wa shirika la msalaba mwekundu wakiwa katika harakati za kuuzika mwili wa mgonjwa aliyekufa kutokana na ebola, nchini Liberia.
Madaktari na wataalamu wa shirika la msalaba mwekundu wakiwa katika harakati za kuuzika mwili wa mgonjwa aliyekufa kutokana na ebola, nchini Liberia. AFP PHOTO / ZOOM DOSSO

Katika makala hii tumeangazia kuapishwa kwa rais mpya wa Ufaransa Emmanuel Macron ambapo katika hotuba yake ameahidi kuwaunganisha wafaransa, lakini pia huko DRCongo kuripotiwa kwa mlipuko wa ugionjwa wa ebola kwenye maeneo ya kaskazini mashariki, nchini Tanzania, Kenya na Somalia. Kimataifa pia imeangaziwa hatua ya rais wa Marekani Donald Trump ya kumfuta kazi mkuu wa shirika la upelelezi la FBI.Jiunge na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka kusikiliza zaidi.