Muziki Ijumaa

Tiken Jah Fakoly kwa mara nyingine tena katika Makala ya Muziki Ijumaa

Sauti 09:59
Tiken Jah Fakoly
Tiken Jah Fakoly © RFI/Edmond Sadaka

Makala haya muziki Ijumaa Ali Bilali anakuletea habari kuhusu mwanamuziki wa miondoko ya Rege kutoka nchini Cote d'Ivoire ambae amejizolea umaharufu mkubwa kufuatia nyimbo zake ambazo zimekuwa zikiwalenga viongozi wa dunia. kufaham mengi zaidi ambatana naye Ali Bilali usikosi pia kumfollow kwa Isntagram @billy_bilali