Ripoti ya AFDB yaipaisha Afrika katika ukuaji na uchumi

Sauti 09:39
Kigali, Rwanda.Nchi inayoongoza kwa kukua kiuchumi na huduma za afya katika jangwa la Sahara
Kigali, Rwanda.Nchi inayoongoza kwa kukua kiuchumi na huduma za afya katika jangwa la Sahara Getty/Peter Stuckings

Katika makala haya utasikia maoni ya wasikilizaji kuhusu ripoti ya Benki ya maendeleo ya Afrika AFDB kwamba Afrika inaendelea kukua na maisha ya raia yanaboreka.