Walinda amani wawili wa MINUSMA wauawa nchini Mali

Sauti 09:12
Mmoja wa walinda amani wa umoja wa mataifa nchini Mali MINUSMA  akiwa katika doria mjini  Timbuktu 19 septembre 2016.
Mmoja wa walinda amani wa umoja wa mataifa nchini Mali MINUSMA akiwa katika doria mjini Timbuktu 19 septembre 2016. SEBASTIEN RIEUSSEC / AFP

Katika makala haya wasikilizaji wanatoa maoni kuhusu mauaji ya walinda amani nchini Mali na nini kifanyike, karibu