Muziki Ijumaa

Jose Mara avunja ukimya aja na Bendi mpya Mapacha Music Band

Sauti 10:47
Jose Mara studio za RFI Kiswahili jijini Dar es salaam na mtangazaji Ali Bilali
Jose Mara studio za RFI Kiswahili jijini Dar es salaam na mtangazaji Ali Bilali RFI/Bilali

Makala Muziki Ijumaa Juma hili, Ali Bilali anakuletea mwanamuziki wa muda mrefu Jose Mara ambae amkeuwa kimya kwa muda mrefu, ambae kwa sasa ameunda bendi yake nyingine inayokuja kwa jina la Mapacha Music Band. Hii inakuja baada ya kuvunjika kwa Bendi ya Mapacha watatu. Jose Mara anatuletea pia kionjo cha wimbo wake mpya, sikiliza Makala haya ili usikilize kionjo chenyeze. usisahau pia kutufollow kwa Istagram Billy_bilali