Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Waziri wa nishati asimamishwa kazi nchini Tanzania, Umoja wa mataifa waitaka DRC kuchunguza mauaji ya wataalamu wake

Sauti 21:09
Naibu waziri mkuu na waziri wa mambo ya ndani wa DRC Emmanuel Ramazani Shadary akipokelewa na gavana wa jimbo la Kasai ya kati, Justin Milonga mjini Kananga marchi 2017
Naibu waziri mkuu na waziri wa mambo ya ndani wa DRC Emmanuel Ramazani Shadary akipokelewa na gavana wa jimbo la Kasai ya kati, Justin Milonga mjini Kananga marchi 2017 RFI / Sonia Rolley

Makala hii kwa juma hili imeangazia hatua ya rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli, kumsimamisha kazi waziri wa nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo saa chache baada ya kupokea ripoti kuhusu mchanga wa madini, uliozuiliwa kusafirishwa kwenda nje ya nchi, Umoja wa mataifa uliiomba serikali ya jamhuri ya kidemokrasia ya Congo kuhakikisha wahusika wa mauaji ya wataalamu wake wawili katika jimbo la kasai ya kati. kimataifa ziara ya kwanza kufanywa na rais wa Marekani Donald Trump barani ulaya, ambako alishiriki mkutano wa Nato.