Binadamu wa Kale

Sauti 20:23
Fuvu la binadamu wa kale, takriban miaka milioni tatu iliyopita, Zinjanthropus.
Fuvu la binadamu wa kale, takriban miaka milioni tatu iliyopita, Zinjanthropus.

Juma hili tumetembelea Nyumba ya Utamaduni jijini Dar es salaam, nchini Tanzania na kukuletea mengi juu ya historia ya binadamu wa kale, Zinjanthropus. Pia tutakuletea taarifa juu ya vijana Wakitanzania wanaobuni, kuunda na kutengeneza viatu kwa kutumia mikono yao wenyewe bila machine...