Wadrc wafurahishwa na hatua ya EU kuwawekea vikwazo viongozi 9

Sauti 09:35
Waziri wa habari na msemaji wa Serikali ya DRC, Lambert Mende akizungumza hivi karibuni
Waziri wa habari na msemaji wa Serikali ya DRC, Lambert Mende akizungumza hivi karibuni Reuters

Umoja wa Ulaya EU umewawekea vikwazo baadhi ya viongozi 9 wa DRC akiwemo waziri wa habari Lambert Mende kufuatia madai ya kutoruhusu mchakato wa uchaguzi kufanyika na kutokutoa ushirikiano kwa Umoja wa mataifa kuzuia vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini humo.Hatua hii imechukuliwaje na wanachi wa DRC?