Habari RFI-Ki

Rais Kabila asema hajawahi ahidi chochote kuhusu kuandaa uchaguzi mwaka huu nchini DRC

Sauti 10:19
Rais wa DRC  Joseph Kabila.
Rais wa DRC Joseph Kabila. REUTERS/Kenny Katombe

Katika makala haya utasikia maoni ya wasikilizaji kuhusu kauli ya rais Kabila kuwa hajawahi kuahidi chochote kuhusu kuandaa uchaguzi nchini humo mwaka huu, karibu