Habari RFI-Ki

Mgomo wa wauguzi waanza Kenya

Sauti 10:04
Picha ikionesha manesi na madaktari wakiwa kwenye mgomo wao kushinikiza Serikali kutekeleza madai yao ya mshahara.
Picha ikionesha manesi na madaktari wakiwa kwenye mgomo wao kushinikiza Serikali kutekeleza madai yao ya mshahara. REUTERS/Thomas Mukoya

Katika makala haya utasikia maoni kuhusu kuanza kwa mgomo wa wauguzi nchini Kenya kuishinikiza serikali kuwalipa mishahara yao kama ilivyokubaliwa mwaka jana.