Habari RFI-Ki

Serikali ya DRC yamtangaza mkuu wa zamani wa jeshi John Numbi kuwa shujaa wa taifa

Sauti 10:33
John Numbi mkuu wa zamani wa jeshi la polisi nchini DRC
John Numbi mkuu wa zamani wa jeshi la polisi nchini DRC vacradio.com

Katika makala haya utasikia maoni ya raia wa DRC kuhusu serikali ya DRC kumtangaza mkuu wa wa zamani wa polisi John Numbi kama shujaa wa taifa, karibu