Jua Haki Zako

Nafasi ya Watetea Haki za Binadamu Wakati wa Uchaguzi

Sauti 08:36
L’Observatoire congolais des droits de l’homme (OCDH), shirika la kutetea haki za binadamu nchini Congo-Brazzaville
L’Observatoire congolais des droits de l’homme (OCDH), shirika la kutetea haki za binadamu nchini Congo-Brazzaville Source : http://www.cncdh.fr/fr/ong/

Sikiliza wadau wa haki za binadamu wakieleza nafasi za kutetea haki za binadamu barani Afrika, hususan, Afrika Mashariki na Kati.