Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Wafungwa zaidi ya 900 watoroka gereza la Beni, DRC na tume ya umoja wa mataifa ya haki za binadamu yalaani mauaji Burundi

Sauti 21:16
Gereza kubwa la Kangbayi la mjini Beni mashariki mwa DRC
Gereza kubwa la Kangbayi la mjini Beni mashariki mwa DRC REUBEN LUKUMBUKA/ Rfi Kiswahili

Makala ya mtazamo wako kwa yaliyojiri juma hili tumeangazia kutoroka kwa wafungwa zaidi ya 900 kwenye gereza la mjini Beni, huko Burundi serikali ilipinga ripoti ya tume ya haki za binadamu kuhusu mauaji na unyanyasaji wa wananchi, utasikia mengi kutoka Tanzania na Kenya kwa juma hili, wakati kimataifa uchaguzi wa wabunge nchini Ufaransa, pia tumepiga tochi kuhusu siasa za Marekani.Ungana nami Reuben Lukumbuka kusikiliza zaidi