Mjadala wa Wiki

Mapigano mapya nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati licha ya mkataba wa amani

Sauti 14:29
Raia wakiwa wamezuia barabara jijini Bangui
Raia wakiwa wamezuia barabara jijini Bangui Reuters

Mapigano mapya yamezuka nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati licha ya kutiwa saini kwa mkataba mpya amani nchini Italia . Ripoti zinasema kuwa zaidi ya watu 100 wamepoteza maisha katika mapigano hayo kati ya waasi wa Anti Balaka na Seleka.Tunajadili mvutano huu.