Muziki Ijumaa

Genevieve Miss Tanzania 2010 anaekuja kwa kasi katika tasnia ya Muziki party 1

Sauti 12:02
Mwanamuziki Genevieve ndani ya studio za RFI Kiswahili Dar es salaam Juni 2017
Mwanamuziki Genevieve ndani ya studio za RFI Kiswahili Dar es salaam Juni 2017

Makala Muziki Ijumaa Radio France Internationale, Juma hili Ali Bilali anazungumza na mwanamuziki Miss Tanzania mwaka 2010 anaefanya vizuri katika tasnia ya Muziki, sehem hii ya kwanza inaangazia kuhusu muziki wake na harakati zake za kimuziki. Usikosi pia kusikiliza sehem ya pili, unaweza pia kutufollow kwa instagram kwa kuandika @billy_bilali