Changu Chako, Chako Changu

Historia na Tamasha la Muziki 2017

Sauti 20:36
Tamasha la muziki 2016
Tamasha la muziki 2016 DR

Fuatilia mambo ya historia na tamasha la muziki iliyoadhimishwa duniani kote ikiwemo nchini Tanzania kwa ushirikiano wa karibu na Kituo Cha Utamaduni wa Ufaransa na Mafunzo ya Lugha ya Kifaransa jijini Dar es salaam pamoja na burudani ya muziki kama ilivyo desturi yetu ya kila Jumapili.