Jua Haki Zako

Nafasi ya Watetea Haki za Binadamu Wakati wa Uchaguzi Sehemu ya Mwisho

Sauti 10:37
Uchaguzi, wanawake na haki za binadamu nchini Jamuhuri ya Afrika ya Kati.
Uchaguzi, wanawake na haki za binadamu nchini Jamuhuri ya Afrika ya Kati. AFP/Patrick Fort

Anna Henga Katemana, Mkurungenzi Msaidizi wa Kituo Cha Sheria na Haki Za Binadamu, jijini Dar es salaam nchini Tanzania, anahitimisha mada yetu juu ya nafasi ya watetea haki za binadamu na hasasi za kiraia wakati wa vipindi vya uchaguzi kwenye mataifa mengi barani Afrika.