Changu Chako, Chako Changu

Sanaa za mikono

Sauti 20:52
Shughuli na soko la sanaa za mikono mjini Abidjan nchini Cote d'Ivoire.
Shughuli na soko la sanaa za mikono mjini Abidjan nchini Cote d'Ivoire. https://www.abidjanaccueil.com

Profesa Elias Jengo wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, nchini Tanzania, anatupasha kuhusu sanaa za mikono barani Afrika.