Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mahakama ya juu ya Kenya yaagiza kufanyika uchaguzi mpya, DRC zoezi la kuwandika wapigakura kuanza septemba 04 jimboni Kasai

Sauti 21:06
Mamia ya wananchgi wa Kenya wakisherehekea Uamuzi wamahakama ya juu kufuta uchaguzi wa agosti 08 2017.
Mamia ya wananchgi wa Kenya wakisherehekea Uamuzi wamahakama ya juu kufuta uchaguzi wa agosti 08 2017. REUTERS/Thomas Mukoya
Na: Ruben Kakule Lukumbuka
Dakika 22

Makala ya mtazamo wako kwa yaliyojiri juma hili inaangazia hatua ya mahakama ya juu kufuta ushindi wa rais Uhuru Kenyatta, na kuagiza kufanyika kwa uchaguzi mpya wakati kule Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini humo Corneille Nangaa alisema kuwa zoezi la kuwaandika wapiga kura litaanza jumatatu ya septemba nne mwaka huu kule Kasai. Kimataifa rais wa Ufaransa Emmanuel Macron alitangaza kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia zaidi na Afrika.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.