Pata taarifa kuu
MALI

HRW yawashutumu wanajeshi wa Mali na Burkina Faso kwa mauaji ya raia

Askari wa Mali wanaingia katika helikopta ya Jeshi la Ndege la Mali huko Léré, katikati ya nchi hiyo
Askari wa Mali wanaingia katika helikopta ya Jeshi la Ndege la Mali huko Léré, katikati ya nchi hiyo Anthony Fouchard/RFI
Ujumbe kutoka: Sabina Chrispine Nabigambo
1 Dakika

Askari wa Mali na Burkinafaso wamewaua,kuwatesa na kuwapoteza raia wakati wakijaribu kuwaondoa wanajihadi katikati mwa Mali, Shirika la haki za binadamu la Human Rights Watch limesema jana Ijumaa.

Matangazo ya kibiashara

Operesheni za kijeshi za Mali na Burkina Faso ili kukabiliana na kuwepo kwa vikundi vya silaha vya Kiislam katikati mwa Mali zimesababisha ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu,imesema taarifa hiyo.
 

Tangu mwaka 2016, majeshi ya Mali yamefanya mauaji makubwa kutoweka kwa watu, mateso, na kukamatwa kwa wanaume kwa tuhuma za kusaidia vikundi vya silaha vya Kiislam.

 

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.