Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Polisi nchini Tanzania kuwasaka walioshambulia Tundu Lisu kwa risasi, Upinzani nchini Kenya waomba wafuasi kuchangia pesa

Imechapishwa:

Katika makala hii utasikia, Mwanasheria wa chama cha upinzani cha Chadema nchini Tanzania Tundu Lisu, Kushambuliwa kwa risasi, muungano wa upinzani nchini Kenya NASA wawataka wafuasi wake kuchangia fedha za kampeni, nao umoja wa mataifa washuhudia mateso, maafa na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu katika jimbo la Kasai nchini DRC.Na kimataifa vuta nikuvute kati ya Marekani na Korea Kaskazini, wakati rais wa Ufaransa Emmanuel Macron apendekeza mikutano ya umoja wa ulaya iwe ya kidemokrasia zaidi. 

Wafanyakazi wa UNHCR wakihudumia wakimbizi wa DRC waliokimbilia Angola katika mji wa mpaka wa Mussungue, Angola,.
Wafanyakazi wa UNHCR wakihudumia wakimbizi wa DRC waliokimbilia Angola katika mji wa mpaka wa Mussungue, Angola,. Photo HCR/Adronico Marcos Lucamba
Vipindi vingine