Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Mauaji ya wakimbizi warundi nchini DRC yazua taharuki

Sauti 09:46
Takribani wakimbizi 37 raia wa Burundi wameuawa katika kambi ya Kamanyola DRC
Takribani wakimbizi 37 raia wa Burundi wameuawa katika kambi ya Kamanyola DRC Latifa Mouaoued/RFI
Na: Martha Saranga Amini
Dakika 11

Wakimbizi 37 wa Burundi wameuawa katika mapigano huko Kamanyola Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo wakati wa maandamano kupinga kurejeshwa nyumbani kwa wenzao maafisa wamesema Jumamosi iliyopita.Je mauaji haya yataathiri vipi mchakato wa kuwarejesha warundi kwao..

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.