Jeshi la DRC na mapigano Uvira, rais wa Kenya Uhuru Kenyatta aunga mkono mabadiliko ya sheria za uchaguzi nchini Kenya

Sauti 21:23
Uvira, jimbo la Kivu kusini :Kikosi cha askari wa majini wakishirikiana na Monusco, wakijiandaa kupiga diria katika ziwa tanganyika mjini Uvira Alhamis Agosti 11 2016.
Uvira, jimbo la Kivu kusini :Kikosi cha askari wa majini wakishirikiana na Monusco, wakijiandaa kupiga diria katika ziwa tanganyika mjini Uvira Alhamis Agosti 11 2016. Photo MONUSCO/Fiston Ngoma

Makala hii imeangazia hali ya mapigano mjini Uvira mashariki mwa DRC, Baraza la haki za binadamu la umoja wa mataifa laongeza muda wa uchunguzi wa vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Burundi; Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametetea pendekezo la kubadilisha sheria za uchaguzi kabla ya uchaguzi mpya wa Oktoba 26 mwaka huu, siasa za Uganda na mabadiliko ya kifungu cha ukomo wa umri wa anayegombea kiti cha urais, rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ataka mabadiliko ndani ya umoja wa ulaya.