Habari RFI-Ki

Monusco kupunguzwa DRC wakati huu kukishuhudiwa utovu wa usalama

Sauti 09:37
Baadhi ya wanajeshi wa kulinda amnai wa umoja wa mataifa MONUSCO nchini DRC
Baadhi ya wanajeshi wa kulinda amnai wa umoja wa mataifa MONUSCO nchini DRC REUTERS/Kenny Katombe/File Photo

Mjadala mkali unaendelea miongoni mwa raia wa dRC kuhusu azimio la UN kupunguza wanajeshi wake wa kulinda amani nchini DRC MONUSCO wakati huu kukishuhudiwa hali ya utovu wa usalama,je ni wakati muafaka?