Kalenda ya uchaguzi DRC yazua mjadala

Sauti 10:25
Mjumbe wa Marekani katika umoja wa mataifa Nikki Haley
Mjumbe wa Marekani katika umoja wa mataifa Nikki Haley REUTERS/Robert Carrubba

Tume ya Uchaguzi nchini DR Congo imetangaza tarehe mpya ya uchaguzi wa urais na kurejelea kauli yake ya awali baada ya balozi wa Marekani kwenye Umoja wa Mataifa Nikki Haley kuonya kutokea kwa vurugu kama uchaguzi hautafayika haraka.Tume ya Uchaguzi Drc, CENI, imetangaza kwamba uchaguzi wa urais utafanyika Desemba 2018, badala ya Aprili mwaka 2019.