Mugabe amtimua makamo wake na kumsafishia njia Bi Grace kurithi kiti chake

Sauti 09:39
Grace Mugabe,mke wa raisi wa Zimbabwe Robert Mugabe
Grace Mugabe,mke wa raisi wa Zimbabwe Robert Mugabe REUTERS/Philimon Bulawayo

Raisi Mugabe amemfuta kazi makamo wake Emmerson Mnangagwa wakati huu mkewe Grace Mugabe ambaye ni moja kati ya viongozi wa Zanu PF akisema yu tayari kurithi nafasi ya mumewe.je hii inatoa taswira gani katika ujenzi wa mfumo wa siasa barani Afrika?