Afrika yaazimia kuondoa utegemezi katika usalama

Sauti 10:00
Wanajeshi wasaidizi katika kurejesha utulivu nchini Nigeria.
Wanajeshi wasaidizi katika kurejesha utulivu nchini Nigeria. REUTERS/Stringer

Katika makala haya utasikia maoni kuhusu maazimio ya mkutano wa kikanda kuhusu amani na usalama barani Afrika ambapo viongozi wameazimia kuondoa utegemezi katika suala la usalama na kujitegemea bial msaada wa mataifa ya magharibi, karibu