Sintofahamu ya kisiasa Zimbabwe

Sauti 10:38
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe REUTERS/Stringer/File Photo

Katika makala haya utasikia maoni kuhusu sintofahamu ya kisiasa iliyojitokeza nchini Zimbabwe huku kukiwa na ripoti za kuzuiliwa nyumbani kwa rais Mugabe na familia yake na jeshi la nchi hiyo kuchukua udhibiti.