Mwanamuziki wa Burundi DJ Pro afunguka zaidi kuhusu Muziki wake

Sauti 11:47
Mwanamuziki wa Burundi DJ Pro katika ubora wake
Mwanamuziki wa Burundi DJ Pro katika ubora wake DJpro/Bilali

Makala Muzuki Ijumaa Juma hili Ali Bilali anazungumza na mwanamuziki wa Burundi DJ Pro ambae kwa sasa ngoma yake mpya Blaa Blaa inafanya vizuri katika vituo mbalimbali nchini Burundi na nnje ya nchi hiyo. Sikiliza alivyofunguka zaidi kuhusu kazi zake kwa jumla na tuhuma za kuwadisi wasanii wenzie. Unaweza pia kumfollow Mtangazaji Ali Bilali kwa Instagam kwa kugonga hapa @billy_Bilali

Matangazo ya kibiashara