Demokrasia barani Africa

Sauti 10:28
Wakati wa mkutano na waandishi wa habari, jijini Dar es salaam, kwenye picha ni Balozi wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo nchini Tanzania, Jean-Pierre Mutamba akizungumza.
Wakati wa mkutano na waandishi wa habari, jijini Dar es salaam, kwenye picha ni Balozi wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo nchini Tanzania, Jean-Pierre Mutamba akizungumza. Picha na Karume Asangama, rfi-Kiswahili

Juma hili tunakuletea mada juu ya demokrasia katika mlengwa wa haki za binadamu. Tuna Mtaalamu kutoka Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu na Balozi wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo nchini Tanzania wakichangia mada.