Demokrasia barani Afrika

Sauti 10:26
Shughuli za kampeni za uchaguzi nchini Afrika Kusini, hapo juu ni tangazo la kujinadi kumpigia kura mgombea kupitia chama cha ANC, Jacob Zuma.
Shughuli za kampeni za uchaguzi nchini Afrika Kusini, hapo juu ni tangazo la kujinadi kumpigia kura mgombea kupitia chama cha ANC, Jacob Zuma. (Photo : Valerie Hirsch/ RFI)

Fuatilia sehemu ya pili ya mada juu ya demokrasia barani Afrika. Wadau wanateta. Makinika.