Habari RFI-Ki

Shambulizi dhidi ya walinda amani laibua mjadala kujihami kwa walinda amani

Imechapishwa:

Miili ya wanajeshi 14 wa Tanzania waliokuwa wakilinda amani nchini DRC waliuawa baada ya kushambuliwa na waasi wa ADF katika eneo la mashariki mwa DRC imepokelewa Dar es Salaam.Je umefika wakati kwa Umoja wa Mataifa kuvipa mamlaka vikosi vya kulinda amani kukabiliana na makundi ya waasi na nini kifanyike ili kuimarisha amani na usalama katika eneo la Beni na Mashariki mwa Kongo kwa ujumla?Mengi zaidi na Fredrick Nwaka

Miili ya wanajeshi wa Tanzania waliouawa nchini DRC ikiwasili Dar es salaam
Miili ya wanajeshi wa Tanzania waliouawa nchini DRC ikiwasili Dar es salaam AFP