Muziki Ijumaa

G-Bo Gibanga mwanamuziki kutoka Burundi azindua album yake ya 4G

Sauti 10:57
Mwanamuziki G-Bo alievalia kapero nyeupe wakati ikitengenezwa video ya wimbo wake Overdose uliomo katika album yake G4
Mwanamuziki G-Bo alievalia kapero nyeupe wakati ikitengenezwa video ya wimbo wake Overdose uliomo katika album yake G4 g-bo/facebook

G-Bo Gibanga ni miongoni mwa wanamuziuki jipukizi nchini Burundi ambae amepata mafaanikio makubwa baada ya kutoa niymbo zake kadha ambazo zilipokelewa vizuri na hatimae juma hili amezindua album yake iliokuja kwa jina la 4G, mengi zaidi ambatana naye katika makala haya na Ali Billy Bilali unaweza pia kumfollow kwa instagram @billy_bilali